Events


Apostle Prosper Ntepa akiwa akihudumu katika moja ya ibada zenye nguvu na udhihirisho za Huduma ya The Oasis of Healing Ministries jijini Dar es salaam



Watumishi wa Mungu wakihudumu pamnoja na Apostle Prosper Ntepa kwa mshirika ambaye alipokea muujiza na bwana Yesu kumponya ugonjwa uliokuwa unamsumbua.


Moja wa washirika waliohudhuria na kufunguliwa baada ya maombezi yenye uweza na mamlaka ya mtumishi wa Mungu, Apostle Prosper Ntepa


Mtenda kazi wa huduma ya The Oasis of Healing Ministries Pastor Banza Shikala akihudumia katika moja ya ibada za maombezi.


Baadhi ya watenda kazi wasaidizi wa huduma ya The Oasis of Healing Ministries wakimsaidia mama kwa upendo ili aweza kufunguliwa

No comments:

Post a Comment